Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

K vant sasa hivi imekuja na muonekano mpya!!
Nimeshindwa kupandisha picha sasa sijui melewa!!?
Mwenye picha ya k vant mpya a.k.a muwa atupie chap
Ngoja niende kaunta za kijanja natupia sasa hivi. Ile kitu mpya imetulia sana, na rangi yake mpya ya strawberry. Acha kabisa, jana nilitupia mbili alone
 
Sio Usiku. Nipo gizani Club Ezagam Urambo Tabora. Nimewaomba wazime Mana raia ni badae
1538220567967.jpeg
 
Back
Top Bottom