Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Hatari Sana mkuu Kuna machimbo mazuri tu mwanzon nlidhani hakuna ila nishazoea naona poa tu
Zumuni la Serengeti ni lipi sasa hapa?Hizi hata upige 50 hamna kitu
Cha kufanya chukua sita na konyagi kubwa moja,hizo ndio unazifanya kichanganyio hakika hutoiona saa nne usiku[emoji23] [emoji23]
Mi sielewi sababu za Serengeti hapa au ni kwa ajili ya wanaojifunza tu???Weekend ilopita nlipiga 28 hizo,na kvant ndogo
Nimezipenda coz hazina hangover asbh ila kiukweli zile ni km juice kwa tuliozoea ngumu km hzMi sielewi sababu za Serengeti hapa au ni kwa ajili ya wanaojifunza tu???
Huyu ndio mpendwa wangu/kipenzi cha roho yangu/nyongo mkalia IniNimezipenda coz hazina hangover asbh ila kiukweli zile ni km juice kwa tuliozoea ngumu km hzView attachment 881481
Nimeipenda hiyo rangi[emoji23][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]View attachment 881338 mambo ndio yameanza
Kweli kwenye msafara wa mamba kenge hawakosekani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kazi imeanza sasa 1977 itahusikaView attachment 881356
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]π€π€π€[emoji23]Sio Usiku. Nipo gizani Club Ezagam Urambo Tabora. Nimewaomba wazime Mana raia ni badae
View attachment 881380
1977 naomba ipewe tuzo ya heshima mwisho wa mwaka,bonge la biaKazi imeanza sasa 1977 itahusikaView attachment 881356
Na usafiri gani? [emoji23][emoji23][emoji23]Kuna bar nyengine zipo karibu na masjid na kanisa, sasa ukiweka glass mdomoni unaanza kusikia "kulewa haramu jamani kutakupelekeni motoni" dah kuna wengine wanapeleka hivyo hivyo du! wana moyo.
π³ π³ π πWikiend hii sitaki usumbufu, hii kaunta naikausha mwenyewe leo.
N:B Wazee wa Yanga tukutane kesho zile pande zetu nyeti. View attachment 881446
Msikae pekeyenu kaeni na maua mchangamkeAsee mkuu leo nilikua na mishe kidogo sasa ndo naanza siku namna hii ndani ya The Place-Ifakara mjiniView attachment 881464View attachment 881465
Hiyo ni tunguli? π³Unakunywa huku unamtukana MourinhoView attachment 881471