Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Niko hapa na meneja wa bia,anawapongeza wanachama wote pia anawaomba muendelee na moyo huo huo wa kuwaunga mkono ili waendelee kuishi mjini.bia oyeeee....,supa brandi namba moja.
 
Mkuu Equation x, ndio maana nilikuwa sijapanda kaunta hadi hivyo vya sukari vitoke. Muda huu ninapotaka kutoka havipo mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu Equation x, ndio maana nilikuwa sijapanda kaunta hadi hivyo vya sukari vitoke. Muda huu ninapotaka kutoka havipo mkuu
Pongezi zako mkuu,mi naendeleza hapa taratiibu na serengeti lite pamoja na mdudu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…