Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Nipo na wazee safari[emoji23][emoji23]wananiambia nakunywa juice[emoji23][emoji23][emoji23]
20180930_152856.jpg
 
Kuna wasauzi nilikutana nao Arusha jamaa wana miili kama ya tembo wanakunywa beer kuanzia chupa 38 kwenda mbele ...nikawaambia Mimi uwezo wangu beer 7/8 wakaniambia hizo kule kwao wanakunywa wanafunzi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Ova
 
Back
Top Bottom