Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mwenyekiti ndio nimefika hapa bar moja kama unaenda mlonganzila ila hakuna TV ila pazuri kama imperial ...ndio nimeagiza safari ndogo ....
Hyo yenye garden fulani na ina vibembea au

Ova
 
Hii bar kama sio wewe nisingepajua hapa Njia ya Kendall lung an Zola pazuri sana mkuu. Jf ni kila kitu alafu kuna muhudumu ananihudumia ni nzuri sana sema nimekuja na familia hata kutania nashidwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
 
Naskia ilikuwa ya mzungu mke wake mbongo
Mzungu alijichukua uhai wake
Sema shida hpo chakula ndy bei sana ahhhh

Ova
Kawaida nimeagiza kiti moto rost kilo 12,000 ...nilipania kula mama leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…