Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

He he he hii ya kubeba msosi halafu unaukuta asubuhi imenikuta sana..sema mimi nikiwa tungi ni mchoyo sana wa msosi inanisaidia kutoopoa dada poa naona atanimalizia msosi tu.inanisaidia sana kukwepa kuibiwa maana zima ya nyagi ni balaa
Hahahaha, mkuu hii siku ilikua hatari, uzuri asubuhi nimepasha moto nikapita nacho ,nikarudi tena pale pale carnival kuendelea
 
Muda wa kula gambe umefika
Mkuu hii energy drink ni noma aseee ni Mkuyati tosha sasa naona unachanganya na konyagi hapo balaa utatoa povu tu aseeeee. Hii ndo inaitwa walipa kodi wazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…