Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Daaah ilishawahi kunitokea nikiwa kirima bar Singida.niliagiza konyagi ndogo hile kupiga funda tu nikahisi kulewa,nikalipa bill fasta nikakimbilia gesti.nilikuja kushtuka saa tisa usiku,kichwa kinauma balaa halafu hata mlango wa chumba sijaufunga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
 
Wakuu kuna mwanamke kaniganda sana hapa....
Sikutaka toka leo..nlirudi na package ya kutosha jana.

Amemtuma mtu aje niita aisee...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
 
Walipa kodi
20181007_105440.jpeg
 
Mkuu huyu mama kanikomalia kweli kanifata hapa ananambia aliwahi niona coca imebidi nikubali tu ngoja nione mwisho wa hili picha asjakunywa bia zangu 3[emoji4][emoji4]
Thaminisha mzigo Mkuu...
Kama unalipa tembea nae.

Mimi kuna mtu aliniita asubuh..nikamfuata nikamwbie twende myumbani akagoma...nikamuacha.
Alitaka anile bure.
 
Nimekupendaaaa....

Leo nimeshtuka asubuh sijui nlipoweka cm..

Nimezungunga balaa only to find it under the pillow.

Konyagi nomaa...
Hahahahaaa. Unaweza ukahisi umeibiwa kumbe umesahau ulipoweka
 
Back
Top Bottom