Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahhahaKwakuwa pombe imechuja uchafu wote mwilini [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Daaah ilishawahi kunitokea nikiwa kirima bar Singida.niliagiza konyagi ndogo hile kupiga funda tu nikahisi kulewa,nikalipa bill fasta nikakimbilia gesti.nilikuja kushtuka saa tisa usiku,kichwa kinauma balaa halafu hata mlango wa chumba sijaufunga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wakuu kuna mwanamke kaniganda sana hapa....
Sikutaka toka leo..nlirudi na package ya kutosha jana.
Amemtuma mtu aje niita aisee...
Mi bado sijakaa maana sina kampani naendelea kusimama kaunta mpaka kieleweke.Karibuuu mkuu, jumapil inaanzaga hiviView attachment 889285
SafiiiMi bado sijakaa maana sina kampani naendelea kusimama kaunta mpaka kieleweke.View attachment 889312
HahaaaaaaHebu jaribu kuongezea na mimi tuone labda itakua Chemistry safi sana nipe tu Code PM puliiiiz
Hii kiboko kabisaWakuu habari za Jumapili, baado ya kutoka ibadani nimepitia hapa deo kupata supu kisha nimeanza hivi.View attachment 889228View attachment 889232
Karibu mkuuSafiii....
Wahi ukalipe kodi [emoji1][emoji1]Wakuu kuna mwanamke kaniganda sana hapa....
Sikutaka toka leo..nlirudi na package ya kutosha jana.
Amemtuma mtu aje niita aisee...
Mama mwenyewe ndio anayeonekana mgongo ?Yaani hapa ninapolipa kodi kuna mmama analipa kodi hapa alafu anamtuma muhudumu kwangu anamwambia mwambie yule kijana mamaake anataka bia sasa najiuliza huyu mama wa ghafla nimempata wapi mm jamaniii[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 889340
Hahahahaa...Yaani hapa ninapolipa kodi kuna mmama analipa kodi hapa alafu anamtuma muhudumu kwangu anamwambia mwambie yule kijana mamaake anataka bia sasa najiuliza huyu mama wa ghafla nimempata wapi mm jamaniii[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 889340
Hahahahaa...
Mkuu muulize nia yake nini!?
Thaminisha mzigo Mkuu...Mkuu huyu mama kanikomalia kweli kanifata hapa ananambia aliwahi niona coca imebidi nikubali tu ngoja nione mwisho wa hili picha asjakunywa bia zangu 3[emoji4][emoji4]
Najiiba home nmerudi najidungaThaminisha mzigo Mkuu...
Kama unalipa tembea nae.
Mimi kuna mtu aliniita asubuh..nikamfuata nikamwbie twende myumbani akagoma...nikamuacha.
Alitaka anile bure.
Hahahahaaa. Unaweza ukahisi umeibiwa kumbe umesahau ulipowekaNimekupendaaaa....
Leo nimeshtuka asubuh sijui nlipoweka cm..
Nimezungunga balaa only to find it under the pillow.
Konyagi nomaa...
Mkuu we ndugu yangu kbsa.....ulikua RAD au?Mkuu huyu mama kanikomalia kweli kanifata hapa ananambia aliwahi niona coca imebidi nikubali tu ngoja nione mwisho wa hili picha asjakunywa bia zangu 3[emoji4][emoji4]