Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Dooh. Ndo ile watu wakinywa wanafunga suruali chini wasiharibu?Bingwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dooh. Ndo ile watu wakinywa wanafunga suruali chini wasiharibu?Bingwa
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] sina uhakika, mi huwa sifungi na wala siharibuDooh. Ndo ile watu wakinywa wanafunga suruali chini wasiharibu?
Ningelewa nisinge type ,sema nn lbda nimelewa kdg tuhUshalewa
Vodka nayo Ina hiyo tabia. Unaweza ukasahau hata Jana yake ulikua umekaa Na kina nani
Marahaba za J. pili? Mimi nina mafua hivyo siendi kanisani.Shikamoo dada
Pole mate...Marahaba za J. pili? Mimi nina mafua hivyo siendi kanisani.
Haahaha..[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwenzio keshafanya me,,,,,,,,, tayari.Nzuri tu dada vp huko? Sijaenda leo
Hiyo huwa inanifanya kichaa. Mimi labda gin ambayo naweka tonic na limau kwa wingi. Mimi White wine tuu but dry.Pole mate...
Jaribu kucheki ka Grant.
Weekend huwa sikosei Mkuu....Inabidi ukazimue
Waoh...Hiyo huwa inanifanya kichaa. Mimi labda gin ambayo naweka tonic na limau kwa wingi. Mimi White wine tuu but dry.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Weekend huwa sikosei Mkuu....
I must come home with a take away.
Nlipo iona tu simu..
Nikalianzisha... Mdogomdogo navuta hapa.
Ma meseji sasa na missd callss nloyakuta toka kwa wife..noumer...
[emoji23][emoji23][emoji23]
One hour everyday ana courage. Ila kwangu mimi ni furaha changed person.Duu sijafanya almost two weeks sasa...busy busy busy...!and a half