Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Me nikiwa DSM napenda sana Calabash Mpakani, jumamosi huwa nakaa kaunta kuanzia SAA 4 asubuhi hadi band inafunga saa 6. Matukio sijawahi kutana nayo, ila ajali zitokanazo na tungi zaidi ya Mara 3. Nikija DSM ntakucheki mkuu. Nawe karibu makao makuu uje unywe dompo kwa 9 kSema bar za kujaza sana nilizikacha maana tushakswakoswa si unajua ile wanaingia mnambiwa laleni chini ahhhhh
Mm bar nshakutana na mikasa kibao kama kauandika kitabu ingekuwa burudan maana kuna majanga na vituko....
Wengine sisi ni watu wa mikasa,utani
Sometime watata.....nlikutana na robert Michael alinielwa Sana
Ova