Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Kitia nyege[emoji85][emoji85][emoji85][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Ngj nchkue bia za kupiga safari ni kwenda kimara [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
 
Duh hapa nmelewa
Ahahaha
Nachkua bia za kunywa njiani on ma way to kimara korogwe

Ova
[emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1548][emoji1540][emoji1531]
 
Hivi marais wetu wote ni wanachama? Najua mchonga alikuwa member lakini kwa kificho sana. Benny yeye hapana shaka. Sijui Ruksa, JK na Yohana kama wamo
 
Hivi marais wetu wote ni wanachama? Najua mchonga alikuwa member lakini kwa kificho sana. Benny yeye hapana shaka. Sijui Ruksa, JK na Yohana kama wamo
Wanachama wa nini?wa kilaji au

Ova
 
Hivi marais wetu wote ni wanachama? Najua mchonga alikuwa member lakini kwa kificho sana. Benny yeye hapana shaka. Sijui Ruksa, JK na Yohana kama wamo
Ben ni mwanachama mtiifu wa le big tramp[emoji1787][emoji23] kuna mmoja anafanya kolabo na kijiti kikavu[emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…