Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Kamanda wa zamu naingia lindoni. Lindo la leo safari nimecamcel nina gadhabu leo nyagi tu. Semaaaa nyaaaaaaaagi tu
 

Attachments

  • IMG_20181007_185428.jpeg
    45.5 KB · Views: 28
Kuna kigogo mmja nlikuwa nagongana naye bar moja obay ukitokea Ronnie's kuna sehemu hyo jamaa sahv ndy powerful person nchn nakumbuka bia yake ilikuwa serengeti lager [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hicho kilikuwa kijiwe chake

Ova
Ronnie's bado Ipo
 
Kamanda wa zamu naingia lindoni. Lindo la leo safari nimecamcel nina gadhabu leo nyagi tu. Semaaaa nyaaaaaaaagi tu
Hicho kingine ni shanga?[emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787]
 
Ronnie's bado Ipo
Duh ile kitambo sijapita [emoji23] [emoji23] nlikuwaga na msala nilimvaa mzee mmja alikuwaga eagle house pale [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila nlimbatuaga na Gari ila tuko poa sahv
Kuna kiwanja kimoja nlikuwa naendaga kama unaenda shule ya osterbay ndy kilikuwa kinabamba

Ova
 
Trinity au ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…