Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sawa mwenyekiti nimefanya hivyo

Ova
Unazidi kuikaribia mbingu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maana mjumbe ulikuwa kimya
Jana ilikuwa nkutane na mwenyekiti tujadili katiba yetu tunaitengenezje na namna ya kuitisha mkutano mkuu wa wanywaji na walevi .....pia tuanishe madai yetu namna ya kuyapeleka mbele [emoji23] [emoji23]
Tunataka sisi kama walipa/wachangiaji kodi wakubwa tuwe watu wa kwanza kusikiliza!
Ila wiki inayokuja lazima tutakutana

Kwa kweli tunabaguliwa sana, tunataka serikali itutambue haswa kipindi hiki cha kodi ni muhimu
 
Back
Top Bottom