[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Neno la Mungu linasema hivi...mpe maskini kilevi anywe alewe asahau shida zake......
Umetisha RafikiKaribuni wadau View attachment 896576
Yap KatibuNaona uko mahala pako mzee baba[emoji23]
Ova
Mwenyekiti kwema lakiniUnazidi kuikaribia mbingu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli Mkuu, ila tutaungana muda si mrefuNahisi Mtu chake atakuwa amebanwa na majukumu maana kimya
Nipo Rafiki ila kdg nimebanwa siku mbili hzMmenionea wapi rafiki mtu chake
Hahahaha Rafiki usijari nipoAsijekuwa naye amet...... kule alipo napo
Maana mjumbe ulikuwa kimyaHahahaha Rafiki usijari nipo
Jana ilikuwa nkutane na mwenyekiti tujadili katiba yetu tunaitengenezje na namna ya kuitisha mkutano mkuu wa wanywaji na walevi .....pia tuanishe madai yetu namna ya kuyapeleka mbele [emoji23] [emoji23]Maana mjumbe ulikuwa kimya
Kwa kweli tunabaguliwa sana, tunataka serikali itutambue haswa kipindi hiki cha kodi ni muhimuJana ilikuwa nkutane na mwenyekiti tujadili katiba yetu tunaitengenezje na namna ya kuitisha mkutano mkuu wa wanywaji na walevi .....pia tuanishe madai yetu namna ya kuyapeleka mbele [emoji23] [emoji23]
Tunataka sisi kama walipa/wachangiaji kodi wakubwa tuwe watu wa kwanza kusikiliza!
Ila wiki inayokuja lazima tutakutana
Ova
Kweli kabisaKwa kweli tunabaguliwa sana, tunataka serikali itutambue haswa kipindi hiki cha kodi ni muhimu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na pia serikali ipige marufuku kutaja neno pombe makanisani labda kama haitasemwa kwa mabaya[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii mjumbe kali[emoji3]Na pia serikali ipige marufuku kutaja neno pombe makanisani labda kama haitasemwa kwa mabaya[emoji23][emoji23][emoji23]
Mjumbe kwema!
Ova
Kwema waheshimiwa wajumbeMaana mjumbe ulikuwa kimya
Mjumbe tulikumiss kwa muda kidogo, nadhani mengine yanaenda vizuriKwema waheshimiwa wajumbe