Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Maana Katibu hali ilionekana ulikuwa gauge imepanda kupita kiasi[emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1545][emoji1545][emoji1545]salama kabisa ...haya huko central imekuwaje tena!?
Nililala ILa kuna mwanangu pale kobakabanda alinitoaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kesho yake kama saa nane hvi
Ahh misala ilikuwa ndy zetu
Tangu siku hyo pombe na Gari noo

Ova
 
Daah rafiki punguza kulipa kodi
 
katibu hii spidi tuwie radhi, ipungue kidogo, hatutaki kuku poteza mdau
 
Nililala ILa kuna mwanangu pale kobakabanda alinitoaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kesho yake kama saa nane hvi
Ahh misala ilikuwa ndy zetu
Tangu siku hyo pombe na Gari noo

Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimeshapata kianzio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…