harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,970
- 6,907
Kumbe yametukuta wengi.Mm nko pembeni
Mm na ulevi wangu wote siendeshi
Nkiwa tungi maana najua mzigo nao uingiza ndani si mchzo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Vp ww jana ulifika salama
Ntakuelezeni Kisa round about ya askari monument alafu saa Sita mchana [emoji23] [emoji23]
Ilibidi nikalazwe central kwa mapumziko
Ova
mm kuna siku nimepiga mzigo wa kutosha wakati naelekea nyumbani mida ya kama saa6 usiku si nkabanwa na aja ndogo nkapaki nkaenda jisaidia ile narudid nakuta jamaa wamepaki pembeni yangu
Nmefika nayumba nkawasalimia nkafungua mlango kama sijui kinachoendelea jamaa mmoja kaudaka mkono na kufunga mlango..nilishikwa na hasira nkataka kumkaba duuh! Walishuka kama mvua acha wanifanyie shambulizi na kunitupa kwenye gar yao .
Wakamuamuri mshkaji nliekua nae aendeshe gari awafuate nyuma ad kituoni
Nlikuja kutoka kesho yake saa4 si nkapewa kipimo nipulize duuh! Ad jamaa walihisi nliingia na pombe nyingine sero[emoji1787]
Sa iv kulewa vile nikiwa na gari labda niwe karibu na nyumbani