Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mm nko pembeni
Mm na ulevi wangu wote siendeshi
Nkiwa tungi maana najua mzigo nao uingiza ndani si mchzo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Vp ww jana ulifika salama
Ntakuelezeni Kisa round about ya askari monument alafu saa Sita mchana [emoji23] [emoji23]
Ilibidi nikalazwe central kwa mapumziko

Ova
Kumbe yametukuta wengi.
mm kuna siku nimepiga mzigo wa kutosha wakati naelekea nyumbani mida ya kama saa6 usiku si nkabanwa na aja ndogo nkapaki nkaenda jisaidia ile narudid nakuta jamaa wamepaki pembeni yangu

Nmefika nayumba nkawasalimia nkafungua mlango kama sijui kinachoendelea jamaa mmoja kaudaka mkono na kufunga mlango..nilishikwa na hasira nkataka kumkaba duuh! Walishuka kama mvua acha wanifanyie shambulizi na kunitupa kwenye gar yao .

Wakamuamuri mshkaji nliekua nae aendeshe gari awafuate nyuma ad kituoni

Nlikuja kutoka kesho yake saa4 si nkapewa kipimo nipulize duuh! Ad jamaa walihisi nliingia na pombe nyingine sero[emoji1787]

Sa iv kulewa vile nikiwa na gari labda niwe karibu na nyumbani
 
Hahaha pole mdau Dah

Ova
 
Hapo unaelekea wapi na mizinga hiyo rafiki
Tupo tunajidunga ila kazi na dawa

Ova
20181013_163025.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha nae alambe japo kadhaaa aione wekend.....Dah ila kaniacha hoi aliponambia ananionaga najipendele mwenyewe tu leo ktoa ya moyoni....utakuwa unampata hyu mama anaongea kama cherehani anapigaga usafi barabara ya mwinjuma ana story nyingi sana ukikaa naye........
Hapa wamepita madada wamevaa vikuku mguuni kote Dah amenipa definition yake
Nmebaki hoiiii [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
Mrangi, vikuku ni nini? Msinicheke sijalewa ila nimekunywa ba jameni.
 
Mrangi, vikuku ni nini? Msinicheke sijalewa ila nimekunywa ba jameni.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ah naona aibu kusema [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
 
Vicheni vinavaliwa miguuni
Nashukuru maana wengine tunaishi dunia ya kweusi. Kumbe yale madhahabu ndo jina lake? Ningekunulia moja ila ninaweka vocha ili nifuatilie kama Mo na Ben watapatikana leo. Hivi Ben akipatikana tutaenda baa gani eti? Mo mswahilina ataenda kuchinjiwa mbuzi na kuku kama jana.
 
Ben Saanane pekeyake na chatu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1562][emoji1562][emoji1562][emoji1562][emoji1562][emoji1562]
 
Navaaga kama urembo sijui maana nyingine inapendeza ukiwa umevaa kimini na kiatu kirefu hahahahah best ninunulie hayo mengine tutahadithiwa
 
Ben Saanane pekeyake na chatu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1562][emoji1562][emoji1562][emoji1562][emoji1562][emoji1562]
Who's that?
 
Back
Top Bottom