Naona umepiga funda moja ukakumbuka kupiga picha.Lipa kodiView attachment 897705
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nmekomaa bdo hpa leoMzee baba natamani niwe karibu na maeneo hayo , maana huku nilipo unahudumiwa na wahudumu wa age zilizoenda
Sasa nakushauri usiingie tena kwenye huu uzi usije kwenda motoni ndugu. Mungu akubariki hujaja na kashifa ungefurahi humu.Yaani post yangu ya 5160,nimejizuia tangu siku ya 1 kukoment ila nmeshndwa.. Kweli njia ya upotevuni imesonga watu wengi.
Jamani wanywa soda 🥤 turudi kwenye uzi wetu tafadhali... Tumezidiwa na hawa walevi
Ndio naingia home muda huu na kazigo kangu.Alie macho mikono juu
Hahah umesamehewa dhambi zoteeNdio naingia home muda huu na kazigo kangu.View attachment 898553
Hili nalo neno.Mwambie na yeye asiwe anaenda kusuka saluni awe anasukia home aone kama raha
hii kwa sisi wastaafu, tunaiita ya wastafuKuna kitu inaitwa plisner King ni shida
Ndio nazimua nikazichange tena mkuu.Safi
Ova
Ndy naanza kuchangia kodi [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndio nazimua nikazichange tena mkuu.
Upo salama mkuu?. Na member wote wa uzi huu mpo salama?.View attachment 898637
Mzee baba nko salama kabsaNdio nazimua nikazichange tena mkuu.
Upo salama mkuu?. Na member wote wa uzi huu mpo salama?.View attachment 898637
Duh kitambo sana pande hzo itabidi niibuke one day hkoNalipa kodi maeneo ya Kimboka pub Kigogo Mbuyuni nasubiria jam ipungue kidogoView attachment 899033
Hujaitwa huku,acha umbea madamYaani post yangu ya 5160,nimejizuia tangu siku ya 1 kukoment ila nmeshndwa.. Kweli njia ya upotevuni imesonga watu wengi.
Jamani wanywa soda 🥤 turudi kwenye uzi wetu tafadhali... Tumezidiwa na hawa walevi