Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Amini mipango mingi watu wanazungumzia bar
Kuna bar Inaitwa peace mwananyamala
Pale vigogo walikuwa wanakutana
Unakumbka enzi za Boyz 2 men [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Washaka sana pale

Ova
Hii Bar zaman nadhan ilikuwa Classic sana,
Kuna Serengeti, Mongi, Royal (hii ina gest ndan)...
Hizi bar nadhan zilikuwa balaa miaka ya zaman
 
Na nmetoka saa moja kwenda kwenye majukumu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila sahv nmepita kwa mangi natoa lock kdg alafu niendelee na pilika

Ova
 
Na nmetoka saa moja kwenda kwenye majukumu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila sahv nmepita kwa mangi natoa lock kdg alafu niendelee na pilika

Ova
View attachment 907920
Asee wewe ni mlevi wala siyo mnywaji! Hivi aliyeanzisha Uzi huu alikuwa na maana gani sisi kama wadogo zenu mnatufundisha nini hapa?
 
Asee wewe ni mlevi wala siyo mnywaji! Hivi aliyeanzisha Uzi huu alikuwa na maana gani sisi kama wadogo zenu mnatufundisha nini hapa?
Ushambiwa uzi wa wanywaji/walevi kma wee syo mtumiaji pita kimya si mna uzi wenu wa soda na juice

Ova
 
Amini mipango mingi watu wanazungumzia bar
Kuna bar Inaitwa peace mwananyamala
Pale vigogo walikuwa wanakutana
Unakumbka enzi za Boyz 2 men [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Washaka sana pale

Ova
Mi leo nimeanza mapema katibu.
Wadau wote mpo imara?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…