mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Acha kuzingua......mambo ya pombe tuwachiekumbuka ulevi ni dhambi. Nakumbusha tu
Hku hatutaki mambo ya ushauri
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kuzingua......mambo ya pombe tuwachiekumbuka ulevi ni dhambi. Nakumbusha tu
Chimbo gani hilo mjumbe linaonekana limetulia
Ngj nkaimalizie mjengoni [emoji23] [emoji23]Hahahahah nenda pata za kutosha tunakuja na mwenyekiti kula mbuzi
Mbona unajitwisha yasiyokuhusu, utakuta unayako mengi umeshindwa kuyatatuakumbuka ulevi ni dhambi. Nakumbusha tu
[emoji13] [emoji12] [emoji13] [emoji12] [emoji12]
Kwanza uzi huu haumhusuMbona unajitwisha yasiyokuhusu, utakuta unayako mengi umeshindwa kuyatatua
Yaaani Castle lager bia pendwa yangu imepotea sokoni sijui nini kimetokea.Mbadala wake konyagi hali si shwariNdani ya king'ole club nalipa kodiView attachment 901410
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaaani Castle lager bia pendwa yangu imepotea sokoni sijui nini kimetokea.Mbadala wake konyagi hali si shwari
Moshi moja mjumbeChimbo gani hilo mjumbe linaonekana limetulia
Ova
Asee wewe ni mlevi wala siyo mnywaji! Hivi aliyeanzisha Uzi huu alikuwa na maana gani sisi kama wadogo zenu mnatufundisha nini hapa?
Vp chimbo la malindi bado lipo!nishapiga tungi hpo balaa mpk kuna mama mmja akawa anataka kutulishia alikubali flagMoshi moja mjumbe
Bado wapo ila viwanja vingi siku hizi huku, pale mara moja moja sana.Vp chimbo la malindi bado lipo!nishapiga tungi hpo balaa mpk kuna mama mmja akawa anataka kutulishia alikubali flag
Ah bdaye kna mdau hpo akatuambia mama hyo ndy mke wa owner Dah ilibidi tukate mguu hpo maana mama hyo alikuwa anataka kjisahau....angetuletea balaa tu[emoji23] [emoji23]
Ova
😀😀Vp chimbo la malindi bado lipo!nishapiga tungi hpo balaa mpk kuna mama mmja akawa anataka kutulishia alikubali flag
Ah bdaye kna mdau hpo akatuambia mama hyo ndy mke wa owner Dah ilibidi tukate mguu hpo maana mama hyo alikuwa anataka kjisahau....angetuletea balaa tu[emoji23] [emoji23]
Ova