Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Nimeamka wakuu gudi moningi...
Jana walimwengu wakaamua kunifungia nnje na mimi funguo kwan ata nlikuwa naiona... c nkaruka geti aisee ukuta wenyew una vichuma chuma dah alcohol imeisha ganzi na yenyew imeisha nimetobolewa tobolewa...
[emoji53]
[emoji15][emoji15][emoji30][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23]pole sana mdau mlipakodi
 
Nimeamka wakuu gudi moningi...
Jana walimwengu wakaamua kunifungia nnje na mimi funguo kwan ata nlikuwa naiona... c nkaruka geti aisee ukuta wenyew una vichuma chuma dah alcohol imeisha ganzi na yenyew imeisha nimetobolewa tobolewa...
[emoji53]
Hshahaaaaaa!! Mama/baba MWENYE nyumba, hahahaaaaa!! Alikkomesha!! Polesana
 
Yeye akisikia tunamshauri atafute pesa atatuelewa?.
Ah [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mm nko kwa mangi tna hapa kna vinywaji vyote

Ova
20181025_133509.jpg
 
Mwenyekiti huyu sio ww kweli na ile kitu yako ya kichina[emoji23][emoji23]@ mshana jrView attachment 910820
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji30][emoji30][emoji30][emoji87][emoji87][emoji87][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom