Captain-Sparta
Senior Member
- Sep 9, 2016
- 175
- 172
Nimeamka wakuu gudi moningi...
Jana walimwengu wakaamua kunifungia nnje na mimi funguo kwan ata nlikuwa naiona... c nkaruka geti aisee ukuta wenyew una vichuma chuma dah alcohol imeisha ganzi na yenyew imeisha nimetobolewa tobolewa...
[emoji53]