Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Hahahahah nenda pata za kutosha tunakuja na mwenyekiti kula mbuzi
Ngj nkaimalizie mjengoni [emoji23] [emoji23]
Jumatatu hii acha tujidunge ndani

Ova
20181023_192425.jpg
 
Moshi moja mjumbe
Vp chimbo la malindi bado lipo!nishapiga tungi hpo balaa mpk kuna mama mmja akawa anataka kutulishia alikubali flag
Ah bdaye kna mdau hpo akatuambia mama hyo ndy mke wa owner Dah ilibidi tukate mguu hpo maana mama hyo alikuwa anataka kjisahau....angetuletea balaa tu[emoji23] [emoji23]

Bado wapo ila viwanja vingi siku hizi huku, pale mara moja moja sana.
 
Vp chimbo la malindi bado lipo!nishapiga tungi hpo balaa mpk kuna mama mmja akawa anataka kutulishia alikubali flag
Ah bdaye kna mdau hpo akatuambia mama hyo ndy mke wa owner Dah ilibidi tukate mguu hpo maana mama hyo alikuwa anataka kjisahau....angetuletea balaa tu[emoji23] [emoji23]

Ova
😀😀
 
Back
Top Bottom