Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Shark nko na masai
Ananizingua tu washaniona babu yao sjui maana Bila kunizingua hawana raha

Ova
 
Msalimie masai hapo na lidemu lenye mkund.u lile lihudumu, sema nahisi mwenye baa anatafuna huyo
Masai huyo naona leo ananiandamaa mautani kibao ila Anajuaga mm vuvuzela
Kumbe unampata masai [emoji23] [emoji23]

Ova
 
Kuna karioki leo....mm ntakua pachoto
Ila hpo papuchulo ukifika msalimie mgagula fundikira [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hpo Nna Kimeo na baunsa mmoja ntakuja soo likipoaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
Pachoto kino pia ,nyuma ya papichulo,kuna gereji bubu nadhani hapo
Ngoja nichome Papichulo nkalipe kodi, uzuri wa pale kuna mboga nyingi naeza fanya wealth distribution
Hii kino karibu na PR camp ,nyuma ya BP km sijakosea
 
Pachoto kino pia ,nyuma ya papichulo,kuna gereji bubu nadhani hapo Hii kino karibu na PR camp ,nyuma ya BP km sijakosea
Garage iko kwenye open space pale ndy
Ila wenye bar wamepanga tu wamiliki wa eneo wpo wanakula kodi

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…