mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masai huyo naona leo ananiandamaa mautani kibao ila Anajuaga mm vuvuzelaMsalimie masai hapo na lidemu lenye mkund.u lile lihudumu, sema nahisi mwenye baa anatafuna huyo
Pachoto kino pia ,nyuma ya papichulo,kuna gereji bubu nadhani hapoKuna karioki leo....mm ntakua pachoto
Ila hpo papuchulo ukifika msalimie mgagula fundikira [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hpo Nna Kimeo na baunsa mmoja ntakuja soo likipoaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Hii kino karibu na PR camp ,nyuma ya BP km sijakoseaNgoja nichome Papichulo nkalipe kodi, uzuri wa pale kuna mboga nyingi naeza fanya wealth distribution
Garage iko kwenye open space pale ndyPachoto kino pia ,nyuma ya papichulo,kuna gereji bubu nadhani hapo Hii kino karibu na PR camp ,nyuma ya BP km sijakosea
Sio mbali sana mkuu pia kuna twita karibuPachoto kino pia ,nyuma ya papichulo,kuna gereji bubu nadhani hapo Hii kino karibu na PR camp ,nyuma ya BP km sijakosea
OK,kuna mwana mmoja ndg na Master Jay ,Faustine kimario anashindaga sana hapo garageGarage iko kwenye open space pale ndy
Ila wenye bar wamepanga tu wamiliki wa eneo wpo wanakula kodi
Ova
Twita kwa yule DJ Msomali alikua Rapper kipindi hicho ?kuna mizigo balaaSio mbali sana mkuu pia kuna twita karibu
Alikufa yule kaka kitambo tuTwita kwa yule DJ Msomali alikua Rapper kipindi hicho ?kuna mizigo balaa
Fundi Fau namjua sanaOK,kuna mwana mmoja ndg na Master Jay ,Faustine kimario anashindaga sana hapo garage
Acha masihara yule aideed ? Mkali was tongue twist ,aseeAlikufa yule kaka kitambo tu
Ebana Fau jembe sana lile ,yupo bado kumbeFundi Fau namjua sana
Alipiga mtungi huku akiwa na doziAlikufa yule kaka kitambo tu
Ideed nlikuwa naendaga na flash yanguAcha masihara yule aideed ? Mkali was tongue twist ,asee
Ideed nlikuwa naendaga na flash yangu
Namwambia piga magomaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Niliendaga pale akaniapigia play list moja balaa ,uzuri namjua toka kitambo enzi za concert za mchana Bills na Dar institute, asee R.I.P ideedAlipiga mtungi huku akiwa na dozi
Ideed
Ova
Mwana yule kitambo toka OysterbayYupo nahisi
Ova