Tumewaleaaa alafu wakina ideed ndy waanzilishi wa usemi Kino clan wakati huo ana rap ku rap yenyewe hajui[emoji23] [emoji23] [emoji23]Niliendaga pale akaniapigia play list moja balaa ,uzuri namjua toka kitambo enzi za concert za mchana Bills na Dar institute, asee R.I.P ideed
Nmetoka pachooto nmekja mitaa ya BrazilMwana yule kitambo toka Oysterbay
Hivi wale Big Dog Pose ,kuna jamaa mwingine wakuitwa Fotu,ma rapper wa zamani hawa kino hyTumewaleaaa alafu wakina ideed ndy waanzilishi wa usemi Kino clan wakati huo ana rap ku rap yenyewe hajui[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Huko Brazil sipajui ,napasikia tuNmetoka pachooto nmekja mitaa ya Brazil
Kna kagrocery moja napigaga bia za uzushi
Kaj grocery kenyewe hkana leseni ya vileoo
Ova
Nko hapa naleta uzushi bia mbili 3 za kukopa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwana yule kitambo toka Oysterbay
Zamani wahuni kibao sahv pako kama ushuani [emoji23] [emoji23]Huko Brazil sipajui ,napasikia tu
Nmerudi kwa mangi tajiri uriooHuko Brazil sipajui ,napasikia tu
Itabidi nidhuru ili nipate upako hpo aiseLipa kodi kwa maendeleo ya Taifa! Code inasoma Hapa ubungo kibangu,njia panda ya jeshini na kwa Mzee wa Upako! Pub inaitwa kwa Manka! Oiii
Wale wapo wamejichkeaHivi wale Big Dog Pose ,kuna jamaa mwingine wakuitwa Fotu,ma rapper wa zamani hawa kino hy
Mnhhh....hahahahaahaa...Nasikitika konyagi hazileweshi Siku hizi
Hongera sana Mkuu.Wadau muhimu katika kuchangia pato la taifa... Nimeamua rasmi kujigawa kwa kufungua kilinge cha ulipaji kodi karibuni sanaView attachment 912419
Joan alikuwa na kaka yake anaitwa James bado yupo?Wale wapo wamejichkea
Mwanangu drez chief yupo mm nlikuwa mitaa ya huko kbla sijazamia ngambo
Enzi hzo.....Kino tulikuwa tunaiendesha na kuitetea.....alikuwepo computer etc
Kuna sista duh tulikuwa tunakaa naye chotara anaitwa Joan sahv anajiita Joan director naye enzi hzo alikuwa anachana rap
Wote hao shida zao walikuwa lazima watutimbie tuwatoe [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Maisha buanaaa
Ova
Kipo wapi hiki kituo cha ulipaji kodi ?Wadau muhimu katika kuchangia pato la taifa... Nimeamua rasmi kujigawa kwa kufungua kilinge cha ulipaji kodi karibuni sanaView attachment 912419