Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Niliendaga pale akaniapigia play list moja balaa ,uzuri namjua toka kitambo enzi za concert za mchana Bills na Dar institute, asee R.I.P ideed
Tumewaleaaa alafu wakina ideed ndy waanzilishi wa usemi Kino clan wakati huo ana rap ku rap yenyewe hajui[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
 
Hivi wale Big Dog Pose ,kuna jamaa mwingine wakuitwa Fotu,ma rapper wa zamani hawa kino hy
 
Mwana yule kitambo toka Oysterbay
Nko hapa naleta uzushi bia mbili 3 za kukopa[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
20181026_220032.jpg
 
Lipa kodi kwa maendeleo ya Taifa! Code inasoma Hapa ubungo kibangu,njia panda ya jeshini na kwa Mzee wa Upako! Pub inaitwa kwa Manka! Oiii
Itabidi nidhuru ili nipate upako hpo aise

Ova
 
Hivi wale Big Dog Pose ,kuna jamaa mwingine wakuitwa Fotu,ma rapper wa zamani hawa kino hy
Wale wapo wamejichkea
Mwanangu drez chief yupo mm nlikuwa mitaa ya huko kbla sijazamia ngambo
Enzi hzo.....Kino tulikuwa tunaiendesha na kuitetea.....alikuwepo computer etc
Kuna sista duh tulikuwa tunakaa naye chotara anaitwa Joan sahv anajiita Joan director naye enzi hzo alikuwa anachana rap
Wote hao shida zao walikuwa lazima watutimbie tuwatoe [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Maisha buanaaa

Joan alikuwa na kaka yake anaitwa James bado yupo?
 
Back
Top Bottom