Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Nko kwa Manyosa hapa ilala nawachapa akina JD halafu kila dakika naona muhudumu anaenda kujipodoa tena... alieko maeneo haya anaweza kuja kusaidia kuchoma hela za Jiwe
Location please
 
Kaliba imevamiwa na wale madomo zege na wenye nia ovu ukizubaa tu unachanganyiwa "vitu visivyojulikana" kwenye kinywaji chako. Otherwise kwenye viwanja vyetu ni full drama tena zile real nenda the great Tabata full drama πŸ˜€πŸ˜€
Unajua kila penye msafara wa mamba kenge hawakosekani
 
Sasa kama hawa mia 500 imewafanya hivi... Utaanzaje kusema eti nao wanachangia uchumi.... Labda kama wanaunga juhudi[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Chupa zote hizo No kitambi ??? Kweli soda hasara tupu,. Hebu geuza hizo chupa zingekuwa Castle larger,. Unadhani aliyekaa hapo pembeni angefananaje. Pata picha. Jamaa anatanana na kinywaji anachokunywa. Hasara hii
😳 πŸ˜› 😳 Huyo hata akitoka jasho linanuka coca[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…