Kamkuki
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 1,732
- 1,093
Utaanzaje kwa mfano kuruka comment bila kuisoma ktk uzi huu..Huu Uzi mtam hatari,nimeuona muda huu na nimesoma comments zote bila kuruka hata moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utaanzaje kwa mfano kuruka comment bila kuisoma ktk uzi huu..Huu Uzi mtam hatari,nimeuona muda huu na nimesoma comments zote bila kuruka hata moja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vindee vyeupe siteia mana mwisho kuingia miaka mishano au 6 iliyopitaWaja wavyumba waivyo wadodo viaho! [emoji23][emoji23][emoji23]
Mm pia nimeulewa sana huuHuu Uzi mtam hatari,nimeuona muda huu na nimesoma comments zote bila kuruka hata moja
Anza wewe kujengaAcheni ulevi nunueni matofali mjenge
Walevi wakubwa nyie[emoji23][emoji23]
Mimi tayari ninazo 3 nyingine 4 ndo namaliziaAnza wewe kujenga
Vizuri sana ,ongeza zingineMimi tayari ninazo 3 nyingine 4 ndo namalizia
Ebwanee huyo si shetani kweli? Naona kagonga vyomboUtamu wa laga makinikia mixer ya mbege na jibapaView attachment 864792
Hii kuna siku iliniyumbisha dish kwa dk kadhaa, nilipiga hizo smirn off 3 na konyagi kubwa, nilifanya vutu vya ajabu sanaWazee wa Ligi ngumu karibuniView attachment 863224
Anajenga kiwanda cha sukariHizi ndio picha za ule uzi wao kule CC : strokeView attachment 864642
Nakuona hapaHa ha ha nani kakwambia situmii maji ya rangi ya mende?
Kapu.uzi sana kale kanjembaMmemfanya kada Stroke akaanzishe uzi wa juisi
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji86][emoji86][emoji86][emoji87][emoji87]Nakuona hapaView attachment 864808