Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Ha ha ha ha ha kwa mchanganyiko huo aaaaaah lazima uelee juu ya Maji na una bahati kuelea juu ya Maji? Labda kwa pombe ulizokunywa
 
Yani leo ningezimia kama mtoto wa Mlema wa Ngurdoto alozikwa leo.Ashukuliwe Mungu sikuwa na hela ya kutosha,ningekunywa sn
 
Duh hapa linalipigwa goma linaitwa mwakameka Dah wamenikosha sana

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…