Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Vzr sanaHapa kuna sista mmja wa mjini Sana kaja kunipa bia ........aise ananipa story hapa
Za wakina tz swrthrt Balaaaaaa
Ova
Wadada Wana storyyy balaaa za mjiniVzr sana
Hy nzuri sana,unapata mastory ya town huku kodi inalipwa ,wasalimie wadau hapoWadada Wana storyyy balaaa za mjini
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ah mm nalipa kodi Sema unajuaa mm Nna washkaji wengi ndomana home kwangu kama hospital au mahakama jinsi washkaji wanavyo nibukia ila yote ni sababu ya kyishi vzuri na watu
Ova
Salam ZimefikaHy nzuri sana,unapata mastory ya town huku kodi inalipwa ,wasalimie wadau hapo
😀😀😀 sukubasi hapigwi!!Katibu huyo ni sukubasi [emoji23][emoji23][emoji23]
Niko viwanja vya kimya kimyaKatibu huyo ni sukubasi [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23]umenikumbusha kiti hapigwi😀😀😀 sukubasi hapigwi!!
MusuliStarter, baadae bombardier [emoji23] View attachment 913242
Safi sana ,week end imeitendea hakiMimi narejea kunyumba
Duh.....mm ndy nataka kuingi Aa home muda huuSafi sana ,week end imeitendea haki
Kwani bia zimeisha mkuu.Nimeamka na KIU ,Leo kazi sijui km zitafanyika
Yani leo ningezimia kama mtoto wa Mlema wa Ngurdoto alozikwa leo.Ashukuliwe Mungu sikuwa na hela ya kutosha,ningekunywa sn