Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Starter, baadae bombardier [emoji23]
IMG_20181027_231440.jpeg
 
Wadada Wana storyyy balaaa za mjini
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ah mm nalipa kodi Sema unajuaa mm Nna washkaji wengi ndomana home kwangu kama hospital au mahakama jinsi washkaji wanavyo nibukia ila yote ni sababu ya kyishi vzuri na watu

Ova
Hy nzuri sana,unapata mastory ya town huku kodi inalipwa ,wasalimie wadau hapo
 
Yani leo ningezimia kama mtoto wa Mlema wa Ngurdoto alozikwa leo.Ashukuliwe Mungu sikuwa na hela ya kutosha,ningekunywa sn
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom