Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Umenikumbusha rafiki yangu Patrick tukimwita Party sasa marehemu. Enzi hizo Keko..alinizidi sana umri lakini braza mmoja mtu poa.

Ana stori za wababe na wahuni wa enzi hizo Keko na Kino..akina Chela nk. Siku namuona Chela kawa mnyonge kwa sababu ya ngada.

Rip Party
Tatzo masela wa keko boxer sana
Wanacheza ngumi

Ova
 
Tatzo masela wa keko boxer sana
Wanacheza ngumi

Ova
Masela wa Keko kwa nakoz ndo wenyewe akina Matumla na Mtagwa kuanzia kinda ngumi jiwe!!

Sasa hivi usipime..hukatizi Keko machungwa au Toroli kirahisi madogo wamepinda
 
Masela wa Keko kwa nakoz ndo wenyewe akina Matumla na Mtagwa kuanzia kinda ngumi jiwe!!

Sasa hivi usipime..hukatizi Keko machungwa au Toroli kirahisi madogo wamepinda
Kuna wakati nilikuwa napiga sana tizii hko
Pad mtu mbili nlikuwa vzuri Sema sahv nahsi
Nmechemshaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
 
Masela wa Keko kwa nakoz ndo wenyewe akina Matumla na Mtagwa kuanzia kinda ngumi jiwe!!

Sasa hivi usipime..hukatizi Keko machungwa au Toroli kirahisi madogo wamepinda
Haya tna mixer na nyagi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
20181028_225554.jpg
 
Kabisa kwanza matumizi kdg yanakuwa chini
Alafu hkuna kuchomekeana

Ova
Ukishalipa bilii zile mbili tatu for the road unakuja kulipa kesho ukitoka job,au wk end ijayo
 
[emoji123][emoji121][emoji109][emoji112][emoji112][emoji112][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Back
Top Bottom