mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Tatzo masela wa keko boxer sanaUmenikumbusha rafiki yangu Patrick tukimwita Party sasa marehemu. Enzi hizo Keko..alinizidi sana umri lakini braza mmoja mtu poa.
Ana stori za wababe na wahuni wa enzi hizo Keko na Kino..akina Chela nk. Siku namuona Chela kawa mnyonge kwa sababu ya ngada.
Rip Party
Wanacheza ngumi
Ova