Tatzo masela wa keko boxer sanaUmenikumbusha rafiki yangu Patrick tukimwita Party sasa marehemu. Enzi hizo Keko..alinizidi sana umri lakini braza mmoja mtu poa.
Ana stori za wababe na wahuni wa enzi hizo Keko na Kino..akina Chela nk. Siku namuona Chela kawa mnyonge kwa sababu ya ngada.
Rip Party
Masela wa Keko kwa nakoz ndo wenyewe akina Matumla na Mtagwa kuanzia kinda ngumi jiwe!!Tatzo masela wa keko boxer sana
Wanacheza ngumi
Ova
Kuna wakati nilikuwa napiga sana tizii hkoMasela wa Keko kwa nakoz ndo wenyewe akina Matumla na Mtagwa kuanzia kinda ngumi jiwe!!
Sasa hivi usipime..hukatizi Keko machungwa au Toroli kirahisi madogo wamepinda
Haya tna mixer na nyagi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Masela wa Keko kwa nakoz ndo wenyewe akina Matumla na Mtagwa kuanzia kinda ngumi jiwe!!
Sasa hivi usipime..hukatizi Keko machungwa au Toroli kirahisi madogo wamepinda
Hapo sawa na kesi ya Khashogi
Ukishalipa bilii zile mbili tatu for the road unakuja kulipa kesho ukitoka job,au wk end ijayoKabisa kwanza matumizi kdg yanakuwa chini
Alafu hkuna kuchomekeana
Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahah hatimae nimekua mteja sasa ila ngoja apitie hesabu hapa roho inadunda.View attachment 914191
[emoji23][emoji23][emoji23]Ohhh mbona mnakunywa sana hamulewi!kunywaaaaaaaaaaa na kula [emoji23] [emoji23] [emoji23]
OvaView attachment 914380
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilipotea angani jana
Ova
Nmerudi home jumatatu sielewi silewi kbsaYesterday memories View attachment 914826View attachment 914827