Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

 
Hapo ndipo pagumu....yaani hapa nilipo nina hang over balaa...kila siku ninajiambia sintokunywa pombe lakini nakuja kustuka nimeshalewa...hebu nishauri mpenzi
Like me, ... daily mataa yanawaka mpaka nahisi nimerogezewa nn..!?
 
Eti wanasema zilipendwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hao wanaosema zilipendwa sio wanywaji wa heineken ni mamluki waache kufananisha heineken na vitu vya kijinga acha heineken iitwe heineken kaka
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na kugona nzagona [emoji85][emoji85][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Waja wavyumba waivyo wadodo viaho! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…