Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Kwa heshima kubwa... Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi.. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno
Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa
. Kushindwa kufanya migomo kila bei inapopanda
. Vituko baada ya kulewa
. Vibweka vya kila aina...
Kupitia mada hii hebu tuweke matukio yote yanayojiri kwenye uwanja wetu huo.... Tusisahau kutupiamo vyupa vyetu tukiwa viti virefu na vifupi... Zile za ofa na hata za kwenye sherehe...
Tupiamo hata zile sura zilizoharibiwa na ngumu kumeza....

CC: mrangi mzee wa OVA! YURE MUPE YURE MURUKE...!!!
WhatsApp Image 2018-09-13 at 6.12.46 AM.jpeg
 
Hapo ndipo pagumu....yaani hapa nilipo nina hang over balaa...kila siku ninajiambia sintokunywa pombe lakini nakuja kustuka nimeshalewa...hebu nishauri mpenzi
Like me, ... daily mataa yanawaka mpaka nahisi nimerogezewa nn..!?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na kugona nzagona [emoji85][emoji85][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Waja wavyumba waivyo wadodo viaho! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom