Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Tutampindua kwenye kikao kijacho asitufanye wazambe.
Hivi kamati kuu tunakutana lini?. Mi nimesahau.
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanakamati makini nachukua nafasi hii adhimu kuwajulisha kuwa kwa mara ya kwanza mwenyekiti na katibu tulifanikiwa kukutana Shortly.... It was very happy moment to remember
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…