Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Nalipa kodi kwa mangi bila hiana

Bei nafu na amna kuchomekeana bil
1540836554071.jpeg
 
Tutampindua kwenye kikao kijacho asitufanye wazambe.
Hivi kamati kuu tunakutana lini?. Mi nimesahau.
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanakamati makini nachukua nafasi hii adhimu kuwajulisha kuwa kwa mara ya kwanza mwenyekiti na katibu tulifanikiwa kukutana Shortly.... It was very happy moment to remember
 
Back
Top Bottom