harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,970
- 6,907
Mkuu maisha yamebana inabidi kwenda nayo kimeno meno..Tatizo walipa kodi mnahesabu Kali.
Bila shaka mlijadili mengi kuhusu mwendelezo wa kuendelea kulipa kodi.[emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanakamati makini nachukua nafasi hii adhimu kuwajulisha kuwa kwa mara ya kwanza mwenyekiti na katibu tulifanikiwa kukutana Shortly.... It was very happy moment to remember
MdauView attachment 915689
kama kawa kama kawizi
Kabisa mwenyekitiMojawapo ya mada ilikuwa hiiView attachment 915627
Katibu kwema?.Duh aise mwenyekiti# ilikuwa babkubwa
Ova
Duh si mchzoKatibu kwema?.
Jana uliniringishia nikiwa nimebanwa leo nipo hiView attachment 915889uru nishalianzisha jirani hapa wakati nachagua kiwanja cha kwenda.
Safi SafiKaribuni wote. Leo nimeamua na mimi nianze kupost baada ya kuona thread imenoga na watumiaji wa vinywaji pendwa tukiendelea kutoa ushirikiano ulio tukuka.
Michongo imeisha mapema tumeanza masanga mapema. View attachment 915950
Unamaanisha Leo ungekuja na Uzi Mpya hapa?.Duh si mchzo
Jna ilikuwa hatare kdg nirudishe mpira kwa kipa
Ova
Sahv nko na kijukumu fulaniUnamaanisha Leo ungekuja na Uzi Mpya hapa?.
Chunga sana katibu.
Minaendeleza mapambano nimehama kiwanja ila wadau hawaonekani naona wametingwa na majukumu.
Safi sana usisahau kunakuchomekewa bili..Karibuni wote. Leo nimeamua na mimi nianze kupost baada ya kuona thread imenoga na watumiaji wa vinywaji pendwa tukiendelea kutoa ushirikiano ulio tukuka.
Michongo imeisha mapema tumeanza masanga mapema. View attachment 915950
Jamaa atakua ENG nini? Itakua anapan dish.Minara hyo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova