Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

[emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanakamati makini nachukua nafasi hii adhimu kuwajulisha kuwa kwa mara ya kwanza mwenyekiti na katibu tulifanikiwa kukutana Shortly.... It was very happy moment to remember
Bila shaka mlijadili mengi kuhusu mwendelezo wa kuendelea kulipa kodi.
 
Bila shaka mlijadili mengi kuhusu mwendelezo wa kuendelea kulipa kodi.
Mojawapo ya mada ilikuwa hii
IMG-20181029-WA0032.jpeg
 
Duh si mchzo
Jna ilikuwa hatare kdg nirudishe mpira kwa kipa

Ova
Unamaanisha Leo ungekuja na Uzi Mpya hapa?.
Chunga sana katibu.
Minaendeleza mapambano nimehama kiwanja ila wadau hawaonekani naona wametingwa na majukumu.
1540889237099220713111.jpg
 
Unamaanisha Leo ungekuja na Uzi Mpya hapa?.
Chunga sana katibu.
Minaendeleza mapambano nimehama kiwanja ila wadau hawaonekani naona wametingwa na majukumu.
Sahv nko na kijukumu fulani
Kna Kimeo nakimalizia....bdy kma Kawa

Ova
 
Back
Top Bottom