ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,858
Wanasema askari kidole , akishakuwa arostoMzushi sana zamani sana tulijifungia sehemu tunapiga vyombo saa nne asubuhi si akatuletea pira kuchomesha ila tulimalizana na wazee papo hapo wazee kama kawaida yao hawana Siri wakamtaja[emoji23] [emoji23] deo tukamtafuta wacha achezee nakoz
Ila siku hzi kabadilika
Ova
Snitch sana yule syo wa kmpa mdhamanaWanasema askari kidole , akishakuwa arosto
Katibu mpe kadogo akae pembeni kiu nishida ujue.Kuna mdandiaji anavizia Meza yetu imepidi nyagi tuifiche kimtindo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
View attachment 917871
Ashapigaaa Sema ana mimina nyingi ahhhh [emoji23] [emoji23]Katibu mpe kadogo akae pembeni kiu nishida ujue.
Mkimbize sasa. Mi nilijua ndio anafika.Ashapigaaa Sema ana mimina nyingi ahhhh [emoji23] [emoji23]
Ova
Nshamkimbza Sema kujaza nyagi glass nzima hafai kbsa anapiga dry anakunywa nyagi kama anakunywa juice ya moMkimbize sasa. Mi nilijua ndio anafika.
Yullee nyokoo anakipajiKama yule deo si unampata[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
.aANAKUONAAA HAHAAANshamkimbza Sema kujaza nyagi glass nzima hafai kbsa anapiga dry anakunywa nyagi kama anakunywa juice ya mo
Ova
.aANAKUONAAA HAHAAANshamkimbza Sema kujaza nyagi glass nzima hafai kbsa anapiga dry anakunywa nyagi kama anakunywa juice ya mo
Ova
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].....
.aANAKUONAAA HAHAAA
MOOOO
Kadri kilevi kinavyopanda ndivyo na kiinglishi inaanza kupanda, kwako Mshana Jr.Kwa heshima kubwa... Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi.. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno
Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa
. Kushindwa kufanya migomo kila bei inapopanda
. Vituko baada ya kulewa
. Vibweka vya kila aina...
Kupitia mada hii hebu tuweke matukio yote yanayojiri kwenye uwanja wetu huo.... Tusisahau kutupiamo vyupa vyetu tukiwa viti virefu na vifupi... Zile za ofa na hata za kwenye sherehe...
Tupiamo hata zile sura zilizoharibiwa na ngumu kumeza....
CC: mrangi mzee wa OVA! YURE MUPE YURE MURUKE...!!!
Nshamkimbza Sema kujaza nyagi glass nzima hafai kbsa anapiga dry anakunywa nyagi kama anakunywa juice ya mo
Ova
USIPOONGEA ENGLISH BAADA YA POMBE UJUE UMEKUNYWA MKOJOOKadri kilevi kinavyopanda ndivyo na kiinglishi inaanza kupanda, kwako Mshana Jr.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]KUNA MOJA ENZI ZA BPOINT NILIMCHANGANYIA NA MKOJO AKIFIKA ANAANGALI
AKUKOMAA AKARUDI NEXTYM MSHIKAJ MMOJA AKANSHAURI NKANUNUE ZILE DAWA ZA KUSAFISHA TUMBO DULUCOLAX MPWA ACHAA ALIENDA CHOONI MPAKA NKAONDOKA MWEMYE KUONA AIBU ..SINCE THEN AKINIONA ANAWAMBIA WASSHIKAJI MUUWAJI YULEE KHA
BURE GARAMAA
Nilishangaa uzi ufike page kadhaa bila kuwepo wewe [emoji3]KUNA MOJA ENZI ZA BPOINT NILIMCHANGANYIA NA MKOJO AKIFIKA ANAANGALI
AKUKOMAA AKARUDI NEXTYM MSHIKAJ MMOJA AKANSHAURI NKANUNUE ZILE DAWA ZA KUSAFISHA TUMBO DULUCOLAX MPWA ACHAA ALIENDA CHOONI MPAKA NKAONDOKA MWEMYE KUONA AIBU ..SINCE THEN AKINIONA ANAWAMBIA WASSHIKAJI MUUWAJI YULEE KHA
BURE GARAMAA
Mpwa wewe kibokoUSIPOONGEA ENGLISH BAADA YA POMBE UJUE UMEKUNYWA MKOJOO
ππππNshamkimbza Sema kujaza nyagi glass nzima hafai kbsa anapiga dry anakunywa nyagi kama anakunywa juice ya mo
Ova
Bunjuuu 1 nimepigwa stopper[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mpwa wewe kiboko