Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mzushi sana zamani sana tulijifungia sehemu tunapiga vyombo saa nne asubuhi si akatuletea pira kuchomesha ila tulimalizana na wazee papo hapo wazee kama kawaida yao hawana Siri wakamtaja[emoji23] [emoji23] deo tukamtafuta wacha achezee nakoz
Ila siku hzi kabadilika

Ova
Wanasema askari kidole , akishakuwa arosto
 
Kwa heshima kubwa... Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi.. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno
Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa
. Kushindwa kufanya migomo kila bei inapopanda
. Vituko baada ya kulewa
. Vibweka vya kila aina...
Kupitia mada hii hebu tuweke matukio yote yanayojiri kwenye uwanja wetu huo.... Tusisahau kutupiamo vyupa vyetu tukiwa viti virefu na vifupi... Zile za ofa na hata za kwenye sherehe...
Tupiamo hata zile sura zilizoharibiwa na ngumu kumeza....

CC: mrangi mzee wa OVA! YURE MUPE YURE MURUKE...!!!
Kadri kilevi kinavyopanda ndivyo na kiinglishi inaanza kupanda, kwako Mshana Jr.
 
KUNA MOJA ENZI ZA BPOINT NILIMCHANGANYIA NA MKOJO AKIFIKA ANAANGALI
AKUKOMAA AKARUDI NEXTYM MSHIKAJ MMOJA AKANSHAURI NKANUNUE ZILE DAWA ZA KUSAFISHA TUMBO DULUCOLAX MPWA ACHAA ALIENDA CHOONI MPAKA NKAONDOKA MWEMYE KUONA AIBU ..SINCE THEN AKINIONA ANAWAMBIA WASSHIKAJI MUUWAJI YULEE KHA
Nshamkimbza Sema kujaza nyagi glass nzima hafai kbsa anapiga dry anakunywa nyagi kama anakunywa juice ya mo

Ova

BURE GARAMAA
 
KUNA MOJA ENZI ZA BPOINT NILIMCHANGANYIA NA MKOJO AKIFIKA ANAANGALI
AKUKOMAA AKARUDI NEXTYM MSHIKAJ MMOJA AKANSHAURI NKANUNUE ZILE DAWA ZA KUSAFISHA TUMBO DULUCOLAX MPWA ACHAA ALIENDA CHOONI MPAKA NKAONDOKA MWEMYE KUONA AIBU ..SINCE THEN AKINIONA ANAWAMBIA WASSHIKAJI MUUWAJI YULEE KHA

BURE GARAMAA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
 
KUNA MOJA ENZI ZA BPOINT NILIMCHANGANYIA NA MKOJO AKIFIKA ANAANGALI
AKUKOMAA AKARUDI NEXTYM MSHIKAJ MMOJA AKANSHAURI NKANUNUE ZILE DAWA ZA KUSAFISHA TUMBO DULUCOLAX MPWA ACHAA ALIENDA CHOONI MPAKA NKAONDOKA MWEMYE KUONA AIBU ..SINCE THEN AKINIONA ANAWAMBIA WASSHIKAJI MUUWAJI YULEE KHA

BURE GARAMAA
Nilishangaa uzi ufike page kadhaa bila kuwepo wewe [emoji3]
 
Mpwa wewe kiboko
Bunjuuu 1 nimepigwa stopper[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
20181101_172002.jpg
 
Back
Top Bottom