Nko tegeta@kuna bar Inaitwa Lexus tunataka fanya yetu nshamtoka mama aise kuwafanyia kazi walee jamaa zetu wa !!Nyie watu ,mko mnatembea sana
Nko tegeta nakuja Kino kuna mdau tarimo hapa namsabai namtia sound kdg[emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh mm nomepelekwa kunduchi mtongani hapa kuna chimbo kna majeda mix raia tungi masaa yte hakuna ngeke anasogea[emoji23] [emoji23]Dah nimesogea mabibo beach (mabwawa7)[emoji23][emoji23][emoji23]
Kabla ya kile chuo Chao katikati hapoDah nimesogea mabibo beach (mabwawa7)[emoji23][emoji23][emoji23]
Nko na mzee wa dry mtaalam wa valuer[emoji23] [emoji23]Dah nimesogea mabibo beach (mabwawa7)[emoji23][emoji23][emoji23]
Karibuni light View attachment 925061
Nimekuja msisiri hku nyuma ya mahakama ya Kino kuna msela mmja msela kinomaLocation sasa inasoma mwalla pub kiluvya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimekuja msisiri hku nyuma ya mahakama ya Kino kuna msela mmja msela kinoma
Mhuni fulani kanikaribisha ghetto kwake
Scala la ulinzi ameniambia nisijali ananipa tag maana hku si unajua kulivyo uswazi vizuri njenje[emoji23] [emoji23] [emoji23] anambia walitaka kutukaba ye kwanza atawapora hao wahuni
Tuko tunapiga bia kighetogheto
Gambeee popote kujimix ndy ynyw
Cheki Meza yake[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
View attachment 925261
Kumekuchaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duuu[emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naamka nazoView attachment 925543