Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Nyie watu ,mko mnatembea sana
Nko tegeta@kuna bar Inaitwa Lexus tunataka fanya yetu nshamtoka mama aise kuwafanyia kazi walee jamaa zetu wa !!
Kazi lazima uwe mjanjanjanja eti anataka anipige pini mpka jioni wakati mm mwenyewe kiguu na njia a [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
 
Dah nimesogea mabibo beach (mabwawa7)[emoji23][emoji23][emoji23]
Nko na mzee wa dry mtaalam wa valuer[emoji23] [emoji23]

Ova
20181107_153938.jpg
 
Wazee ivi Smirnoff ina ukali wowote kweli,coz Mimi juzi nimebugia tano ila sikusikia chochote kichwani
 
Location sasa inasoma mwalla pub kiluvya
Nimekuja msisiri hku nyuma ya mahakama ya Kino kuna msela mmja msela kinoma
Mhuni fulani kanikaribisha ghetto kwake
Scala la ulinzi ameniambia nisijali ananipa tag maana hku si unajua kulivyo uswazi vizuri njenje[emoji23] [emoji23] [emoji23] anambia walitaka kutukaba ye kwanza atawapora hao wahuni
Tuko tunapiga bia kighetogheto
Gambeee popote kujimix ndy ynyw
Cheki Meza yake[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
20181107_222521.jpg
 
View attachment 925261
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duh leo sijalipa kodi kbsa nlikuwa nmeenda mwarusembo hko nmepatikana kuna mamwinyi balaaa
Soon naanzisha safari 2 3 4 za kuniweka Sawa niko hpa manyanya wakulima bar nataka nifanye yngu

Ova
 
Back
Top Bottom