Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Keko mitaa ya kwetu zamani. Pale lazima sura yako ijulikane la utapigwa roba kweupe. Kuna njia kuelekea Keko toroli nilitaka kupita kwa sababu siku nyingi sikuwa Keko! Mshkaji wangu akaniambia utapigwa roba twende nikusindikize.

Keko Palace Bar, Matimila...Yaani dogo akifika miaka 10 tayari Mtu mzima huyo
 
Anafundishwa jinsi ya kupiga ngumi nyundo, panchi moja ushasepa na pochi nene
 

HAHAAAAA MPWAAA HIZO 300 ZILIZOBAKIA UNAWEZA ZITOLEA KWENYE TUNDULOLOTE HUKO HAKU HAKUFAII AISEE

NILISHAWAHII ONA TUKIOO NKAKIMBILIA MWANANYAMALA HOSP ILIKUWA SAA NANE NKAMWOMBA MLINZI ALAMBE BUKU TULINDE WOTEE TU MPAKA ASB TUKAKAA MACHO TILL MORNING

N KUNDI LINATEMBEA BARABARAN LINAPORA LIVE USIKUHUOO NKAHISII MMH MAMBO YA KONKII KONKII HATA 70 SIJAFIKA NILINDE MARINDA YANGU MWANANYMALA HOSP
 
MPWAA HIZI KOPO BADOO ZIPO AISEE
Mpwaaa ngja sahv ningie uwanjani watoto wanikimbize nkumbushie enzi zangu ila najua midaa ntaisoma namba
Ila tunajiandaa na mechi walevi na wachezaji mechi baada ya wiki 1 tunakipiga

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…