Nelson Mwombeki
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 2,933
- 3,397
Zinatembea kwa matairi ya gari kabisaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Keko mitaa ya kwetu zamani. Pale lazima sura yako ijulikane la utapigwa roba kweupe. Kuna njia kuelekea Keko toroli nilitaka kupita kwa sababu siku nyingi sikuwa Keko! Mshkaji wangu akaniambia utapigwa roba twende nikusindikize.Bulawayo kna jamaa mmja nko naye anakumbusha kisa pale kilitokeaga bar ilikuwa road kna siku ile tunaondoka pale tu kna Gari ilikosea njia ikawavaa walevi
Bar za pembezoni mwa barabara mwiko mm kwenda since then
Pia wakati wa mechi mashabiki walitaka taifa oyaoya lazima wawavamie walevi wahuni wa keko walikuwa hawafai
Ova
Anafundishwa jinsi ya kupiga ngumi nyundo, panchi moja ushasepa na pochi neneKeko mitaa ya kwetu zamani. Pale lazima sura yako ijulikane la utapigwa roba kweupe. Kuna njia kuelekea Keko toroli nilitaka kupita kwa sababu siku nyingi sikuwa Keko! Mshkaji wangu akaniambia utapigwa roba twende nikusindikize.
Keko Palace Bar, Matimila...Yaani dogo akifika miaka 10 tayari Mtu mzima huyo
Vijana wa Matumla na Jerry Mtagwa nao wamoAnafundishwa jinsi ya kupiga ngumi nyundo, panchi moja ushasepa na pochi nene
Wapi hapo mkuu,na sisi wa mikoani tukija mujini tukujue japo beer inanizingua ntapiga hata shots mbili za tequila.
Hahahaha, Mkuu hayo mambo hapana aseeMkuu hutaki kusikia yu wara am seying.
'That girl is fucking good' !!
Ntapatafuta,angalia usiyumbe sana dear,enjoy kuwa na usiku mwema.Mibbs Sinza
Ntapatafuta,angalia usiyumbe sana dear,enjoy kuwa na usiku mwema.
Ila siku zinakimbia sana.Hahahaha, Mkuu hayo mambo hapana asee
Nipo tayari kukusaidia myumbo wakoNishayumba mpaka hapa
Noma sana hapo ni maskani yangu huwa nachekia hapo mechi weekends.Yeeess.. mjanja lazima upajue hapa
Kujimix siku 1 1 muhimu mkuuKule ndipo wanaishi Watu.
Ukipita huko lazima uwe na status ya kitaa lazima roba ikuhusu
Nampenda bureee msukumaHahahaha View attachment 928125
Kuna dada mmja kufungua ki pub chke Inaitwa kifurushi pub safari ndg 1400
Pombe zote bei cheeee anasema tukajiunge kifurushi Sema mwananyamala kisiwani ndani kuna masela hko balaaa Roba nje nje
Wakati naenda hko leo lazima nimptie mwanangu dullah mbabe [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anipe tag
Ova
MPWAA HIZI KOPO BADOO ZIPO AISEEZinatembea kwa matairi ya gari kabisaaaa View attachment 928061
Nishayumba mpaka hapa
Mpwaaa ngja sahv ningie uwanjani watoto wanikimbize nkumbushie enzi zangu ila najua midaa ntaisoma nambaMPWAA HIZI KOPO BADOO ZIPO AISEE
Lindaaa kina KONKIII KONKIII KOOOOOOO...FIKA SALAMAA
Amaaa. Jana tumetoka kula biriani na rafiki zangu tukasema tuje tujazie shibe hapoNoma sana hapo ni maskani yangu huwa nachekia hapo mechi weekends.