Ahhh wanajuaa mm mwenyewe mjanjannjaaTaarifa:
Mrangi katekwa na jimama la kizungu beach hapo! Haruhusiwi kunywa nyagi wala safari!!
Mlemi yuleeee na james ila James hazipandi
Yule si unajua style yke
Ova
Jamaa wa mikocheni wamenibukia DahSafari carnival ndio chaka langu kuu,mdg ake da Patricia?
Taarifa:
Mrangi katekwa na jimama la kizungu beach hapo! Haruhusiwi kunywa nyagi wala safari!!
Yuko vileeee si wenye duka la nguo na viatuHahahaha, James style yake ikoje kwani,kwani ni kweli James yuko vile kweli ?
Bonge chips namkumbuka ,Mzee Abdul yupi ?Jamaa wa mikocheni wamenibukia Dah
Mjanja wao kafika [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Watoto wa mzee Abdul Vijana kwa bonge chips hawajaniona kitamboo
Ova
Ngj nkamtoe upepo mtoto wa sauli[emoji23] [emoji23]Bonge chips namkumbuka ,Mzee Abdul yupi ?
Karibu na ushindi
Ova
Ngj nkamtoe upepo mtoto wa sauli[emoji23] [emoji23]
Hku leo sitoki mkavu
Ova
Namleteaaa uzushiiiKm ni Isaac Sauli unatoka kapa
Unampata odilo mangi yuleKm ni Isaac Sauli unatoka kapa
Unampata odilo mangi yule
Mwenye kiduka
Ova
Hahaaa. Mrangi mtoto wa mjini balaaKm ni Isaac Sauli unatoka kapa
Hahaaa. Mrangi mtoto wa mjini balaa
East 24 nani yuko mitaa hiiView attachment 929357
Uefa pub standup#Ukonga