Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Safari carnival ndio chaka langu kuu,mdg ake da Patricia?
Jamaa wa mikocheni wamenibukia Dah
Mjanja wao kafika [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Watoto wa mzee Abdul Vijana kwa bonge chips hawajaniona kitamboo

Ova
 
Hahahaha, James style yake ikoje kwani,kwani ni kweli James yuko vile kweli ?
Yuko vileeee si wenye duka la nguo na viatu
Kuna siku alinipeleka dukani alikuwa na mke wake eti anataka niuzia kiatu 200000
Nkamwmbiaa poaaa nipe nkaondoka nayo mazimaaa

Ova
 
Wakuu mi leo nitajiskia vbaya Kama hamna mdau aliyepo 5N aisee ajitokeze yeyote nina bia zake mi zishanizidi hapa wanazinywa mal..ya tu
 
20181111_053937.jpg
 
Back
Top Bottom