He he we mzee baki na vibonge wako tuHahahaha, kwa picha hy naweza badili mawazo,ila acha tu wakubwa wafaidi
Nililala mimiHaya bana mimi nipo hapa sofan kwa heshima yako njoo mara moja
Mzee baba tupo nmkja sehemu mngolea mzee wangu mmja kisiiiki hku Bunju nahsi nmearibu kazi ila kwa sababu yeye mtu wa vyombo najua ataelewaaa kazi na dawaOi oi
Wangoa kisiiiki tulianzia kupiga vitu kmbe nao wazee wa kuvesha ahh najuta kuwapa gambeee hpa kila mtu mjuaji kila mtu anasema lake yaani tafrani [emoji23] [emoji23] [emoji23]Oi oi
Wakuu TANGA Guest Gani NzuriMzee baba tupo nmkja sehemu mngolea mzee wangu mmja kisiiiki hku Bunbury nahsi nmearibu kazi ila kwa sababu yeye mtu wa vyombo najua ataelewaaa kazi na dawa
Ova
View attachment 929625
Duh ngj wazee wa TA waje kuna moja naijua iko makolola Jina nmesahau kdgWakuu TANGA Guest Gani Nzuri
Hata huku kwenye chama chetu tupo vizuri sana!Kwa heshima kubwa... Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi.. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno
Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa
. Kushindwa kufanya migomo kila bei inapopanda
. Vituko baada ya kulewa
. Vibweka vya kila aina...
Kupitia mada hii hebu tuweke matukio yote yanayojiri kwenye uwanja wetu huo.... Tusisahau kutupiamo vyupa vyetu tukiwa viti virefu na vifupi... Zile za ofa na hata za kwenye sherehe...
Tupiamo hata zile sura zilizoharibiwa na ngumu kumeza....
CC: mrangi mzee wa OVA! YURE MUPE YURE MURUKE...!!!
Nakusubiri kwa hamu kubwaNakuja Swaziland tufe wote
Mwambie huyoHe he we mzee baki na vibonge wako tu
He he we mzee baki na vibonge wako tu
Mwambie huyo
Network search
Sjui ntangukia wapi leo hii
Ova
Yaani mwelekeo wapi ntangukiaMkuu uanguke kweli,tutakuvua nyota ze baba!
HahhahahahahNakusubiri kwa hamu kubwa
Yeye abaki na vibonge wake tu sijui anawapendea churaMwambie huyo
Hahhahhaha hivi si unakumbuka uliniambia unapenda vibongeHahahaha, tusifanyiane hivyo binti
Hivi mrangi una mkeNetwork search
Sjui ntangukia wapi leo hii
Ova
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi mrangi una mke
Hahahha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha Hahaha hahahaha
Ova